KAMPUNI STARMEDIA(STARTIMES)KUKODISHA KING’AMUZI KWA WATEJA WAKE








Afisa Masoko wa kampuni ya Star Times Bw, David Kisaka akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani)Makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam juu ya huduma mpya ya Kampuni hiyo kwa wateja wake itakayomwezesha Mteja wa Star Times Kukodisha Decoder hizo,
Amesema kuwa,ili Mteja aweze kukodisha king’amuzi hicho atatakiwa kulipa Shilingi 39 elfu ikiwa kama dhamana ya Decoder na shilingi 6000 kama ada ya kukodisha Decoder ambapo Mteja atajipatia Decoder, Kadi ya Decoder, Nyaya Zake antena ya ndani kijitabu cha maelekezo na Boksi na mteja ataweza kuona channeli 15 zikiwemo za kienyeji.

http://www.fullshangweblog.com/2013/02/04/kampuni-starmediastartimeskukodisha-kingamuzi-kwa-wateja-wake/

2 comments: